Utangulizi

Kamati ya Usimamizi ya Hazina SACCOS imeundwa na  watu watuatu waliochaguliwa kusimamia shughuli za kifedha za SACCOS hii.Kamati hii ina jukumu la kuhakikisha kuwa fedha za SACCOS zinasimamiwa kwa ufanisi, uwazi, na uwajibikaji.Kamati  hii ni matokeo ya uchaguzi uliofanyika katika mkutano mkuu wa mwaka 2023 mkoani Morogoro katika Hoteli ya Morena.

SHUMBI JACKSON MKUMBO

SHUMBI JACKSON MKUMBO

Mwenyekiti

Phone: '+255 766 200 980

Email:azamiomusilanga2010@gmail.com

FRANK JAVAN KANANI

FRANK JAVAN KANANI

Katibu

Phone: +255 767 120 120

Email:frankanani@gmail.com

DORICE KENNETH RWAKATARE

DORICE KENNETH RWAKATARE

Mjumbe

Phone: +255 715 553 896

Email: dorice.rwakatare@hazina.go.tz