DIRA

Kulinda misingi ya ushirika kwa kutoa huduma zinazokidhi mahitaji na changamoto za Wanachama kwa wakati na gharama nafuu.

DHAMIRA

Kuwa Ushirika wa fedha wenye nguvu kwa kukidhi mahitaji ya wanachama kwa huduma na mazao bora.

MAADILI YA HAZINA SACCOS LIMITED

  1. Uadilifu na uaminifu
  2. Kutoa Huduma nzuri na zenye ubora kwa wanachama
  3. Umoja na ushirikiano
  4. Kubuni,kuboresha na kutoa  huduma na bidhaa bora kwa wanachama
  5. Haki na usawa katika kuwahudumia wanachama
  6. Kupiga vita rushwa kwa nguvu zote
  7. Kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii
  8. Kuendesha SACCOS Kwa misingi ya uwazi na uwajibikaji 
  9. Kuheshimu usawa wa jinsia katika uongozi wa SACCOS.