Mar 28, 2024

HAZINA SACCOS YAONGEZA TUNDA JIPYA

Hazina SACCOS Ltd imeazindua tunda jipya linaloitwa Hazina Mtoto Akaunti. Lengo kuu likiwa mwanachama kuweza kufanya uwekezaji mzuri kwa mtoto wake lakini pia kumjengea mtoto msingi imara wa uwekezaji tangu akiwa mdogo.