lovek
https://hazinasaccos.org

HAZINA SACCOS YAONGEZA TUNDA JIPYA

Hazina SACCOS Ltd imeazindua tunda jipya linaloitwa Hazina Mtoto Akaunti. Lengo kuu likiwa mwanachama kuweza kufanya uwekezaji mzuri kwa mtoto wake lakini pia kumjengea mtoto msingi imara wa uwekezaji tangu akiwa mdogo.

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Hazina SACCOS Ltd yashiriki siku ya maadhimisho ya wanawake Duniani kitaifa yaliyofanyika Pwani Bagamoyo.Maadhimisho haya yameandaliwa na wanawake wa jukwaa la ushirika Tanzania.Kauli mbiu ikiwa ”Wezesha Mwanamke Chochea Maendeleo”