HAZINA SACCOS YAONGEZA TUNDA JIPYA

Hazina SACCOS Ltd imeazindua tunda jipya linaloitwa Hazina Mtoto Akaunti. Lengo kuu likiwa mwanachama kuweza kufanya uwekezaji mzuri kwa mtoto wake lakini pia kumjengea mtoto msingi imara wa uwekezaji tangu akiwa mdogo.

https://hazinasaccos.org

One comment

  1. Cymphorian Lukyakala

    Nawapongeza kwa hatua hii ya kufungua mwanya wa kuwawekea hakiba watoto wetu.
    nNaomba habari hizi ikiwezekana ziwe zinajulishwa kwa wanachama ata kupitia namba zao za simu ili kuwa na taarifa kwa wakati

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*