Mahusiano:
Chama kina mahusiano na:
1. Taasisi za Fedha
(a) NBC BANK b)CRDB C)DCB d)NMB
2. Taasisi za ajira za wanachama:
(a) Wizara zote
(b)Halmashauri/Manispaa
( c) T R A
( d) P S P F
( e) TIA
3. Wadau wa Ushirika nchini:
(a) SCCULT (b) COASCO (C)SELF
(d)MGK Consult
MAKAMPUNI AMBAYO CHAMA KIMEWEKEZA:
1. Kampuni ya Bia Tanzania ( TBL)
2. Kampuni ya Sigara Tanzania ( TCC)
3. Benki ya CRDB Ltd
4. Kampuni ya Saruji Tanga ( Tanga Cement Company)
5. Kampuni ya Saruji Wazo Hill Dar es salaam.
6. SCCULT