Mwanachama

MWANACHMA

Mwanachama wa HAZINA SACCOS LTD ni mtu yeyote ambaye ni mtumishi wa serikali/Taasisi au shirika la umma.

JINSI YA KUJIUNGA NA HAZINA SACCOS LTD:

     Kujaza fomu ya kujiunga inayopatikana ofisi za  HAZINA SACCOS LTD.
    Kulipa Ada ya kiingilio Tsh 20,000/=
     Kulipa Hisa Tsh 20,000/= kwa mwezi kwa muda wa miezi kumi (10) au kuweka Tsh
    200,000/= katika akaunti ya Chama namba 0150237286200 yenye jina la Hazina Savings and Credit
    Cooperative Society Ltd ilioyopo CRDB Benki na kuwasilisha nakala ya malipo Chamani.

HUDUMA ZA KIFEDHA

Mwanachama anaruhusiwa kuweka Akiba (savings) au kulipa deni la Hazina SACCOS Ltd kupitia Benki.
Malipo yoyote yanayofanyika kwa mwanachama huwa ni kwa njia ya Hundi.
Jina la Akaunti—Hazina Savings and Credit Society Ltd.
Akaunti namba : 011103005328
Benki ya NBC , tawi la Corporate.

UKOMO WA UANACHAMA
     Kustaafu kwa kwa mujibu wa sheria
     Kuhamia sekta au makampuni binafsi.
     Kuacha/kufukuzwa kazi serikalini/taasisi.
    Kifo

KANUNI YA KUTAFUTA RIBA

RIBA = P (N+1) r
               .......
                200

KIELELEZO:

   P– MKOPO

   N– MUDA(MIEZI) WA KUREJESHA MKOPO

   r– RATES (1% AU 2%)
Image

© 2021 Flex. All Rights Reserved. Powered by Aplikko